Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 23:114 — Waumini (Al-Mu'minun)

Alisema, "Kweli, ulikaa kwa muda mfupi sana, kama tu ungejua."

[23:113] Walieleza, "Tulidumu siku moja au sehemu ya siku. Waulize wale waliyohesabu."

[23:115] "Je, ulidhani kwamba tulikuumba bure; kwamba hautarudi kwetu?"