Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 25:37 — Kitabu cha Sheria (Al-Furqan)

Vivyo hivyo, watu wa Nuhu walipokataa kuamini wajumbe, tuliwazamisha, na tukawaweka kama ishara kwa watu. Tumewaandalia wakaidi adhabu chungu.

[25:36] Tulisema, "Nendeni, nyote wawili, kwa watu waliokataa ishara zetu," na kisha, tukawaangamiza kabisa wakatao.

[25:38] Pia 'Ãd, Thamoud, wakazi wa Al-Russ, na vizazi vingi vilivyokuwepo kati yao.