Kurani 26:213 — Washairi (Al-Shu`ara')
فَلا تَدعُ مَعَ اللَّهِ إِلٰهًا ءاخَرَ فَتَكونَ مِنَ المُعَذَّبينَ
Hivyo basi, usiabudu pamoja na MUNGU mwingine yeyote, usije ukapatwa na adhabu.
[26:212] Kwa maana wanazuiliwa wasisikie.
[26:214] Utahubu kwa watu wanaokuzunguka.