Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 26:37 — Washairi (Al-Shu`ara')

"Waiteite kila mchawi mwenye uzoefu."

[26:36] Walieleza, "Mpe mapumziko yeye na ndugu yake, na watume wakuitao kila mji.

[26:38] Wachawi walikusanyika kwa wakati uliopangwa, siku iliyopangwa.