Kurani 27:10 — Chungu (Al-Naml)
"Tupilia chini fimbo yako." Alipoiona ikisonga kama pepo, aligeuka na kukimbia. "Ewe Musa, usiogope. Wajumbe wangu hawaogopi."
[27:9] "O Musa, huyu ni Mimi, MUNGU, Mwenye nguvu zote, Mwenye hikima tele."
[27:11] "Ila wale wanaofanya dhambi kisha wanabadilisha na kutenda mema baada ya kutenda dhambi; Mimi ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."