Kurani 27:9 — Chungu (Al-Naml)
"O Musa, huyu ni Mimi, MUNGU, Mwenye nguvu zote, Mwenye hikima tele."
[27:8] Alipofika hapo, alisikia akuitwa: "Ametukuzwa ni Yule (anayesema kutoka) ndani ya moto, na wale walioko karibu naye." Utukufu uwe kwa MUNGU, Mola wa ulimwengu.
[27:10] "Tupilia chini fimbo yako." Alipoiona ikisonga kama pepo, aligeuka na kukimbia. "Ewe Musa, usiogope. Wajumbe wangu hawaogopi."