Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 27:64 — Chungu (Al-Naml)

Ni nani anaye anzisha uumbaji, kisha kuurudia? Ni nani anaye kupa riziki kutoka mbinguni na ardhini? Je, kuna mungu mwingine pamoja na MUNGU? Sema, "Nionyeshe ushahidi wako, kama mnasema kweli."

[27:63] Ni nani anaye kuongoza katika giza la nchi na bahari? Ni nani anayepeleka upepo ukiwa na habari njema, ukitangaza rehema yake? Je, kuna mungu mwingine pamoja na MUNGU? MUNGU ndiye aliye juu zaidi, hana mshirika.

[27:65] "Hakuna mtu mbinguni wala duniani anayejua siku za usoni isipokuwa MUNGU. Hawaelewi hata vipi au lini watafufuliwa."