Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:11 — Waamramu (Ali-'Imran)

Kama watu wa Farao na wale waliokuwa kabla yao, walikataa ishara zetu na kwa hiyo MUNGU aliwaadhibu kwa dhambi zao. MUNGU ni mkali katika kutekeleza kisasi.

[3:10] Wale wasioamini kamwe hawatasaidiwa na mali yao, wala watoto wao, dhidi ya MUNGU. Watakuwa kuni ya Jahannam.

[3:12] Waambie wale wasioamini, "Mtaangamizwa, kisha kukusanywa Jahannam; makazi ya kusikitisha sana!"