Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:130 — Waamramu (Ali-'Imran)

Enyi mnaoamini, msikubali riba inayozidishwa mara kwa mara. Mcheni Mwenyezi Mungu ili mpate kufanikiwa.

[3:129] Kila kitu mbinguni na duniani ni mali ya MUNGU. Yeye husamehe yule amtakaye, na humuadhibu yule amtakaye. MUNGU ni Mwingi wa Kusamehe, Mwenye Kurehemu.

[3:131] Jihadharini na moto wa Jahannam unaowangojea wakatao kuamini.