Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:168 — Waamramu (Ali-'Imran)

Waliposema kuhusu jamaa zao waliobaki, "Wangelitii maagizo yetu, wasingeuawa." Sema, "Basi zuia kifo chako mwenyewe, ikiwa mnasema kweli."

[3:167] Na kuwafichua wanaafiki ambao walikuwa wakiambiwa, "Njooni pigana katika njia ya MUNGU, au toeni mchango." Wakasema, "Kama tungelijua jinsi ya kupigana, tungelijiunga nanyi." Walikuwa karibu zaidi na ukafiri wakati huo kuliko walivyokuwa karibu na imani. Walitoa kauli kwa midomo yao ambayo haikuwa mioyoni mwao. MUNGU anajua wanayoyaficha.

[3:169] Usiwaze kwamba wale wanaouawa kwa ajili ya MUNGU wamekufa; wao wako hai kwa Mola wao, wakifurahia riziki yake.