Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:2 — Waamramu (Ali-'Imran)

MUNGU: hakuna mungu ila Yeye; Mwenye Uhai, Mwenye Milele.

[3:1] A.L.M.

[3:3] Aliyekuleteeni Kitabu hiki amekuleteeni kwa ukweli, ukithibitisha vitabu vyote vilivyotangulia, naye ameteremsha Taurati na Injili.