Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 3:28 — Waamramu (Ali-'Imran)

لا يَتَّخِذِ المُؤمِنونَ الكٰفِرينَ أَولِياءَ مِن دونِ المُؤمِنينَ ۖ وَمَن يَفعَل ذٰلِكَ فَلَيسَ مِنَ اللَّهِ فى شَيءٍ إِلّا أَن تَتَّقوا مِنهُم تُقىٰةً ۗ وَيُحَذِّرُكُمُ اللَّهُ نَفسَهُ ۗ وَإِلَى اللَّهِ المَصيرُ

Waalioamini hawashirikiani na makafiri badala ya waumini. Yeyote afanyaye hivyo ameondolewa mbali na Mwenyezi Mungu. Isipokuwa wale walio kulazimishwa kufanya hivyo ili kuepuka mateso. Mwenyezi Mungu anakukumbusha umcha Mungu pekee. Kwake Mwenyezi Mungu ndio marejeo ya mwisho.

[3:27] "Wewe unayachanganya usiku na mchana, na kuyachanganya mchana na usiku. Wewe unazalisha walio hai kutoka kwa wafu, na unazalisha wafu kutoka kwa walio hai, na Wewe unatoa riziki kwa yeyote unayemchagua, bila mipaka."

[3:29] "Kama utaficha fikira zako za ndani au kuzitangaza, MUNGU anazijua kabisa. Yeye anajua kila kitu mbinguni na duniani. MUNGU ni Mwenye nguvu zote."