Kurani 30:11 — Warumi (Al-Ruum)
MUNGU ndiye Anaye anzisha uumbaji na kuurudia. Mwishowe, mtarejeshwa Kwake.
[30:10] Matokeo kwa wale waliotenda maovu lazima yawe maovu. Hii ni kwa sababu walikataa mafunuo ya MUNGU, na kuyadhihaki.
[30:12] Siku ile itakapofika Saa, wakosaji watahuzunika.