Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 30:12 — Warumi (Al-Ruum)

Siku ile itakapofika Saa, wakosaji watahuzunika.

[30:11] MUNGU ndiye Anaye anzisha uumbaji na kuurudia. Mwishowe, mtarejeshwa Kwake.

[30:13] Masanamu yao hawatakuwa na uwezo wa kuombea kwa niaba yao; badala yake, watakanusha masanamu yao.