Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 30:39 — Warumi (Al-Ruum)

وَما ءاتَيتُم مِن رِبًا لِيَربُوَا۟ فى أَموٰلِ النّاسِ فَلا يَربوا عِندَ اللَّهِ ۖ وَما ءاتَيتُم مِن زَكوٰةٍ تُريدونَ وَجهَ اللَّهِ فَأُولٰئِكَ هُمُ المُضعِفونَ

Ribaa ambayo inatumika kuongeza utajiri wa watu fulani, haina faida yoyote kwa MUNGU. Lakini ukitoa sadaka, ukitafuta kuridhika kwa MUNGU, hao ndio watakaopokea thawabu yao maradufu.

[30:38] Hivyo, wapeni jamaa zao sehemu yao halali (ya sadaka), pamoja na maskini, na mgeni anayesafiri. Hii ni bora kwa wale wanaotafuta radhi ya MUNGU kwa dhati; wao ndio washindi.

[30:40] MUNGU ndiye aliye kuumba. Yeye ndiye anaye kupa riziki. Yeye ndiye anaye kuondolea uhai. Yeye ndiye anaye ku fufulia. Je, masanamu yako yanaweza kufanya haya yote? Yeye ndiye mwenye utukufu. Yeye ni mkuu mno kuwa na washirika.