Kurani 30:41 — Warumi (Al-Ruum)
Majanga yameenea katika nchi na baharini, kwa sababu ya yale ambayo watu wamefanya. Hivyo huwaacha wakatwe na matokeo ya baadhi ya matendo yao, ili waweze kurudi (kwenye matendo sahihi).
[30:40] MUNGU ndiye aliye kuumba. Yeye ndiye anaye kupa riziki. Yeye ndiye anaye kuondolea uhai. Yeye ndiye anaye ku fufulia. Je, masanamu yako yanaweza kufanya haya yote? Yeye ndiye mwenye utukufu. Yeye ni mkuu mno kuwa na washirika.
[30:42] Tangaza, "Tembea duniani na ujue matokeo kwa wale waliokuwa kabla yenu." Wengi wao walikuwa waabudu sanamu.