Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 32:6 — Kuinama (Al-Sajdah)

Mwenye kujua siri zote na matangazo; Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema.

[32:5] Mambo yote yanadhibitiwa na Yeye kutoka mbinguni mpaka duniani. Kwake, siku moja ni sawa na miaka elfu moja yako.

[32:7] Yeye ndiye aliye kamilisha kila kitu alichokiumba, na akaanza uumbaji wa binadamu kutokana na udongo.