Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 33:3 — Vyama (Al-Ahzab)

Na weka imani yako kwa MUNGU. MUNGU anatosha kama mwakilishi.

[33:2] Fuata yale yanayofunuliwa kwako kutoka kwa Mola wako. MUNGU anajua kabisa kila kitu mnachofanya.

[33:4] MUNGU hakumpa mwanadamu mioyo miwili kifuani mwake. Wala hakubadilisha wake zenu mnaowatenga (kulingana na desturi yenu) kuwa mama zenu.* Wala hakubadilisha watoto wenu wa kupokea kuwa watoto wa kinasaba. Haya yote ni maneno matupu mliyojitengezea. MUNGU husema ukweli, na Yeye huongoza katika njia sahihi.