Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 36:16 — Y.S. (Ya Sin)

Walasema, "Mola wetu anajua kwamba tumetumwa kwako."

[36:15] Walikuwa wakisema, "Nyinyi ni sawa na sisi binadamu tu. Mwingi wa Rehema hakuteremsha chochote. Nyinyi ni waongo."

[36:17] "Kusudi letu kuu ni kufikisha ujumbe."