Kurani 36:30 — Y.S. (Ya Sin)
Jinsi hali ya watu ilivyo ya kusikitisha! Kila mara mjumbe alipokwenda kwao, walimchezea dhihaka daima.
[36:29] Ilikuwa inatosha pigo moja tu, kisha wakanyamazishwa.
[36:31] Je! Hawakuona jinsi tulivyoharibu vizazi vingi kabla yao, na jinsi hawarudi kwao?