Kurani 38:49 — S (Saad)
هٰذا ذِكرٌ ۚ وَإِنَّ لِلمُتَّقينَ لَحُسنَ مَـٔابٍ
Hii ni kumbusho: Wachamungu wamestahili hatima nzuri sana.
[38:48] Kumbuka Ismail, Elisha, na Zal-Kifl; miongoni mwa wachamungu zaidi.
[38:50] Mabustani ya Edeni yatafungua malango yao kwao.