Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 38:7 — S (Saad)

"Hatujawahi kusikia hili katika dini ya mababu zetu. Hii ni uwongo."

[38:6] Viongozi walitangaza, "Nendeni mkasimame imara katika kuabudu miungu yenu. Hili ndilo linalotakikana."

[38:8] "Kwa nini uthibitisho ukamfikia yeye, badala yetu?" Hakika, wana shaka na uthibitisho Wangu. Hakika, bado hawajapata kujua adhabu Yangu.