Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 39:52 — Makutano (Al-Zumar)

أَوَلَم يَعلَموا أَنَّ اللَّهَ يَبسُطُ الرِّزقَ لِمَن يَشاءُ وَيَقدِرُ ۚ إِنَّ فى ذٰلِكَ لَءايٰتٍ لِقَومٍ يُؤمِنونَ

Je, hawatambui kwamba MWENYEZI MUNGU ndiye anayeongeza riziki kwa yule amtakaye na kuzuia? Hizi ni mafunzo kwa watu wenye imani.

[39:51] Waliteseka kwa sababu ya matendo yao maovu. Vivyo hivyo, wakosaji miongoni mwa kizazi cha sasa wataumia matokeo ya matendo yao maovu; hawawezi kukwepa.

[39:53] Tangazeni: "Enyi waja wangu mlio pita mipaka, kamwe msikate tamaa ya rehema ya Mwenyezi Mungu. Kwa sababu Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Yeye ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu."