Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 39:56 — Makutano (Al-Zumar)

أَن تَقولَ نَفسٌ يٰحَسرَتىٰ عَلىٰ ما فَرَّطتُ فى جَنبِ اللَّهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السّٰخِرينَ

Asije roho ikasema, "Jinsi ninavyojisikia kujuta kwa kutozingatia maagizo ya MUNGU; bila shaka nilikuwa mmoja wa wafanyizi."

[39:55] Na fuata njia bora iliyowekwa mbele yako na Mola wako, kabla ya adhabu kukupata ghafla unapokuwa hukutarajia.

[39:57] Au sema, "Kama MUNGU angeniongoza, ningekuwa pamoja na wenye haki."