Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 39:66 — Makutano (Al-Zumar)

Hivyo basi, utamsujudia MUNGU pekee, na kuwa mwenye shukrani.

[39:65] Imekufunuliwa wewe, na wale waliokuwa kabla yako kwamba ukimwabudu sanamu, kazi zako zote zitabatilishwa, na utakuwa pamoja na waliopotea.

[39:67] Hawawezi kamwe kuelewa ukuu wa MUNGU. Dunia nzima iko ndani ya kiganja chake Siku ya Kiyama. Kwa kweli, ulimwengu wote umefungwa ndani ya mkono wake wa kulia. Na yeye ametukuzwa; yeye yuko juu sana hatakuwa na haja ya washirika wowote.