Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 39:67 — Makutano (Al-Zumar)

Hawawezi kamwe kuelewa ukuu wa MUNGU. Dunia nzima iko ndani ya kiganja chake Siku ya Kiyama. Kwa kweli, ulimwengu wote umefungwa ndani ya mkono wake wa kulia. Na yeye ametukuzwa; yeye yuko juu sana hatakuwa na haja ya washirika wowote.

[39:66] Hivyo basi, utamsujudia MUNGU pekee, na kuwa mwenye shukrani.

[39:68] Baragumu litapulizwa, wakati huo kila mtu mbinguni na duniani atapigwa bumbuwazi, isipokuwa wale watakaookolewa na MUNGU. Kisha litapulizwa tena, wakati huo wote watainuka, wakiangalia.