Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:149 — Wanawake (Al-Nesa')

Ukiendelea kutenda mema - yawe wazi au yafichikwe - au ukisamehe kosa, MUNGU ni Mwingi wa Kusamehe, Mwenye nguvu zote.

[4:148] MUNGU hupenda kusikia maneno mazuri tu, isipokuwa katika hali ya kutendewa kwa dhuluma kubwa. MUNGU ni Msikiaji, Mjuzi.

[4:150] Wale wanaokataa MUNGU na wajumbe Wake, na kutaka kutofautisha kati ya MUNGU na wajumbe Wake, na kusema, "Tunaamini baadhi yao na tunakataa baadhi," na wanataka kufuata njia katikati;