Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:37 — Wanawake (Al-Nesa')

Wale ambao ni wabahili, huwahimiza watu kuwa wabahili, na kuficha yale ambayo MUNGU amewapa kutoka kwa neema zake. Tumewaandalia wakataao imani adhabu ya kuaibisha.

[4:36] Utamsujudia MUNGU pekee—usimshirikishe na yeyote. Waheshimu wazazi, jamaa, mayatima, masikini, jirani aliye na uhusiano nawe, jirani asiye na uhusiano nawe, rafiki wa karibu, msafiri aliye mbali, na watumishi wako. MUNGU hampendi mwenye kiburi na mwenye majivuno.

[4:38] Hutoa pesa kwa hisani ili kujionyesha tu, huku wakikosa imani kwa MUNGU na Siku ya Mwisho. Ikiwa rafiki wa mtu ni shetani, huyo ndiye rafiki mbaya zaidi.