Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 4:55 — Wanawake (Al-Nesa')

Baadhi yao waliamini hilo, na baadhi yao wakalikataa; Jahannam ndio malipo sahihi kwa hao.

[4:54] Je, wana roho mbaya kwa watu kwa sababu MUNGU amewabariki kwa neema Zake? Tumewapa familia ya Ibrahimu maandiko, na hekima; tumewapa mamlaka kuu.

[4:56] Hakika, wale wanaokataa ishara zetu, tutawaangamiza kwenye moto wa Jahannam. Kila wanapochomwa ngozi zao, tutawapa ngozi mpya. Hivyo, watateseka milele. MUNGU ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi.