Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 40:14 — Msamehevu (Ghafer)

Hivyo basi, unapaswa kumwabudu MUNGU PEKEE kikamilifu, hata kama wakataao hawapendi hivyo.

[40:13] Yeye ndiye ambaye daima anakupa ishara zake, na kutuma riziki kutoka mbinguni kwako. Ni wale tu wanaojisalimisha kabisa ndio wataweza kuchukua tahadhari.

[40:15] Mwenye vyeo vya juu kabisa, na Mtawala wa ufalme wote. Yeye hupeleka ufunuo, ukiambatana na amri zake, kwa yeyote ambaye yeye anachagua kutoka kati ya watumishi wake, kuonya kuhusu Siku ya Kuitwa.