Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 40:31 — Msamehevu (Ghafer)

"Wapinzani wa Nuhu, na 'Ãd, Thamoud, na wengine waliokuja baada yao. MUNGU hataki dhulma yoyote kwa watu."

[40:30] Yule aliyesadiki alisema, "Enyi watu wangu, najua mnakabiliwa na hatari kama iliyowapata wapinzani wa zamani."

[40:32] "Enyi watu wangu, najawaogopa Siku ya Kuitwa."