Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 40:61 — Msamehevu (Ghafer)

MUNGU ndiye aliyeumba usiku ili upate kupumzika, na mchana upate mwangaza. MUNGU hutoa baraka nyingi kwa watu, lakini watu wengi hawashukuru.

[40:60] Bwana wako asema, "Niombeni, nami nitawajibu. Hakika, wale wenye kiburi kushirikiana nami wataingia Motoni, kwa nguvu."

[40:62] Hivyo ndivyo MUNGU wako Mola, Muumba wa vitu vyote. Hapana mungu ila Yeye. Vipi unaweza kupotea njia?