Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 42:35 — Mkutano (Al-Shoora)

Wale wanaopinga hoja zetu watagundua kwamba hawana msingi wowote.

[42:34] Anaweza kuwaangamiza, kama matokeo ya matendo yao wenyewe. Badala yake, Yeye hupuuza mengi (ya dhambi zao).

[42:36] Cho chote unachopewa ni kitu cha muda tu katika maisha haya. Kile MUNGU anamiliki ni bora zaidi na cha milele, kwa wale wanaoamini na kumtumaini Bwana wao.