Kurani 43:73 — Mapambo (Al-Zukhruf)
لَكُم فيها فٰكِهَةٌ كَثيرَةٌ مِنها تَأكُلونَ
Utakuwa na matunda ya aina zote humo, ambayo utakula.
[43:72] Hivyo ndivyo Pepo utakavyo urithi, kama malipo ya matendo yako.
[43:74] Bila shaka, wenye hatia wataendelea kuteseka katika adhabu ya Gehenna milele.