Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 43:88 — Mapambo (Al-Zukhruf)

Itakapotangazwa: "Ee Bwana wangu, watu hawa hawaamini."

[43:87] Ukiwauliza ni nani aliye waumba, watasema, "MUNGU." Kwa nini basi wakapotea njia?

[43:89] Utawapuuza na kusema, "Amani;" bila shaka watajua.