Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 49:14 — Kuta (Al-Hujurat)

قالَتِ الأَعرابُ ءامَنّا ۖ قُل لَم تُؤمِنوا وَلٰكِن قولوا أَسلَمنا وَلَمّا يَدخُلِ الإيمٰنُ فى قُلوبِكُم ۖ وَإِن تُطيعُوا اللَّهَ وَرَسولَهُ لا يَلِتكُم مِن أَعمٰلِكُم شَيـًٔا ۚ إِنَّ اللَّهَ غَفورٌ رَحيمٌ

Waarabu walisema, "Sisi ni Waumini." Sema, "Hamjaamini; mnachopaswa kusema ni, 'Sisi ni Waislamu,' mpaka imani ithibitishwe mioyoni mwenu." Ikiwa mtamtii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, Hataharibu kazi zenu yoyote. Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

[49:13] Enyi watu, tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke mmoja, na tukawafanya kuwa makundi na kabila mbalimbali, ili mpate kujua/kutambuana. Mbora zaidi mbele ya MUNGU ni yule aliye mcha MUNGU zaidi. MUNGU ni Mjuzi, Mwenye khabari.

[49:15] Waumini ni wale wanaoamini MUNGU na mjumbe wake, kisha wanafikia hatua ya kutokuwa na shaka hata kidogo, na wanajitahidi kwa mali zao na maisha yao katika njia ya MUNGU. Hao ndio wakweli.