Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 49:4 — Kuta (Al-Hujurat)

إِنَّ الَّذينَ يُنادونَكَ مِن وَراءِ الحُجُرٰتِ أَكثَرُهُم لا يَعقِلونَ

Kuhusu wale wanaokuita kutoka nje ya kuta, wengi wao hawaelewi.

[49:3] Hakika, wale wanaopunguza sauti zao mbele ya mjumbe wa MUNGU ndio wale ambao mioyo yao imeandaliwa na MUNGU ili iweze kuwa na ucha Mungu. Wamestahili msamaha na thawabu kubwa.

[49:5] Kama wangelikuwa wavumilivu mpaka ulipowafikia, ingalikuwa bora kwao. MUNGU ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.