Kurani 5:22 — Karamu (Al-Ma'edah)
Walisema, "Ewe Musa, kuna watu wenye nguvu humo, hatutaingia mpaka watoke. Wakitoka, ndipo tutakapoingia."
[5:21] "Watu wangu, ingieni nchi takatifu ambayo MUNGU ameiamuru kwenu, wala msifanye uasi, msije mkawa wenye kukhasirika."
[5:23] Wanaume wawili ambao walikuwa wacha Mungu na kubarikiwa na MUNGU walisema, "Ingia tu kwenye mlango. Ukiiingia tu, bila shaka utashinda. Lazima umtegemee MUNGU, ikiwa kweli mnaamini."