Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 5:39 — Karamu (Al-Ma'edah)

فَمَن تابَ مِن بَعدِ ظُلمِهِ وَأَصلَحَ فَإِنَّ اللَّهَ يَتوبُ عَلَيهِ ۗ إِنَّ اللَّهَ غَفورٌ رَحيمٌ

Ikiwa mtu anatubu baada ya kutenda kosa hili, na kujirekebisha, MUNGU humkomboa. MUNGU ni Mwenye kusamehe, Mwingi wa rehema.

[5:38] Mwizi, awe mwanamume au mwanamke, utaweka alama katika mikono yao kama adhabu kwa uhalifu wao, na kama mfano kutoka kwa MUNGU. MUNGU ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima zaidi.

[5:40] Je, hujui kwamba MUNGU ana umiliki wa mbingu na ardhi? Yeye huadhibu yeyote apendaye, na husamehe yeyote apendaye. MUNGU ni Mwenye Nguvu zote.