Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 5:97 — Karamu (Al-Ma'edah)

جَعَلَ اللَّهُ الكَعبَةَ البَيتَ الحَرامَ قِيٰمًا لِلنّاسِ وَالشَّهرَ الحَرامَ وَالهَدىَ وَالقَلٰئِدَ ۚ ذٰلِكَ لِتَعلَموا أَنَّ اللَّهَ يَعلَمُ ما فِى السَّمٰوٰتِ وَما فِى الأَرضِ وَأَنَّ اللَّهَ بِكُلِّ شَيءٍ عَليمٌ

MUNGU ameteua Ka'bah, Msikiti Mtakatifu, kuwa pahala pa ibada kwa watu, pamoja na Miezi Mitakatifu, michango (kwa Msikiti Mtakatifu), na vikuku vinavyowatambulisha. Lazima ujue kwamba MUNGU anajua kila kitu mbinguni na duniani, na kwamba MUNGU ni Mjuzi wa yote.

[5:96] Samaki wote wa baharini wameruhusiwa kwako kula. Wakati wa hija, hii inaweza kukupatia chakula wakati wa safari yako. Usiwinda kabisa wakati wa hija. Mcheni MUNGU, mbele ya ambaye mtaitwa.

[5:98] Jua kwamba MUNGU ni mkali katika kutekeleza kisasi, na kwamba MUNGU ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu sana.