Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 50:20 — Q (Qaf)

Baragumu limelia; hii ni siku iliyohidiwa.

[50:19] Hatimaye, koma isiyoweza kuepukika ya kifo inakuja; hii ndio uliyojaribu kuepuka.

[50:21] Kila roho inakuja na mchungaji na shahidi.