Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 50:21 — Q (Qaf)

Kila roho inakuja na mchungaji na shahidi.

[50:20] Baragumu limelia; hii ni siku iliyohidiwa.

[50:22] Ulikuwa hujui haya zamani. Sasa tunakiondoa kilemba chako; leo, uwezo wako wa kuona ni (imara kama) chuma.