Kurani 58:20 — Mjadala (Al-Mujaadalah)
Hakika, wale wanaompinga MUNGU na Mtume wake watakuwa pamoja na wale walio duni kabisa.
[58:19] Shetani amewamiliki, na kuwasababisha wasiweke maanani ujumbe wa MUNGU. Hawa ni kundi la shetani. Hakika, kundi la shetani ni wapotevu.
[58:21] MUNGU ameamuru: "Mimi na wajumbe wangu bila shaka tutashinda." MUNGU ni Mwenye nguvu, Mwenye uweza.