Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 59:16 — Kutoka (Al-Hashr)

Ni kama shetani: yeye husema kwa binadamu, "Kataa imani," kisha mara tu anapokataa, yeye husema, "Ninakukana. Ninamwogopa MUNGU, Bwana wa ulimwengu."

[59:15] Majaliwa yao ni sawa na wenzao waliowatangulia. Walipata matokeo ya maamuzi yao. Wamepata malipo machungu.

[59:17] Majaliwa yao yote ni Moto wa Jahanamu, ambapo watakaa milele. Hii ndio malipo kwa wapotovu.