Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 6:11 — Mifugo (Al-An'am)

Tangaza, "Tembea duniani na ujue matokeo kwa wakataao."

[6:10] Wajumbe kabla yako wamechekwa. Ni wale waliowadhihaki ndio walioathiriwa na matokeo ya dhihaka yao.

[6:12] Sema, "Vitu vyote mbinguni na duniani ni vya nani?" Sema, "Ni vya MUNGU." Amehukumu kwamba rehema ni sifa yake. Atawakusanya nyote Siku ya Kiyama, ambayo ni lazima. Wale wanaopoteza nafsi zao ni wale wanaokataa kuamini.