Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 63:1 — Wanafiki (Al-Munafikiin)

Wakati wanafiki wanapokujia husema, "Tunashuhudia kwamba wewe ni mjumbe wa MUNGU." MUNGU anajua kwamba wewe ni mjumbe wake, na MUNGU anashuhudia kwamba wanafiki ni waongo.

[63:0] Kwa jina la Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

[63:2] Chini ya kivuli cha imani yao inayoonekana, wanawakataza watu kufuata njia ya MUNGU. Hakika wanatenda maovu.