Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 65:10 — Talaka (Al-Talaaq)

MUNGU ameandaa adhabu kali kwa wale. Kwa hivyo, mcheni MUNGU, enyi mlio na akili na mlioamini. MUNGU amewapelekea ujumbe −

[65:9] Walipata matokeo ya maamuzi yao; hasara kubwa.

[65:11] mjumbe* anayekusomea mafunuo ya MUNGU, kwa uwazi, ili kuwaongoza wale wanaoamini na kutenda mema kutoka gizani kuingia katika mwanga. Yeyote anayeamini katika MUNGU na kuishi maisha ya haki, Atamuingiza katika mabustani yenye mito inayotiririka; watadumu humo milele. MUNGU atamthawabisha kwa ukarimu.