Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:10 — Purgatory (Al-A'araf)

Tumekuweka duniani, na tumekupatia njia za kujikimu humo. Mara chache sana unashukuru.

[7:9] Kuhusu wale ambao uzito wao ni mwepesi, watakuwa wale waliopoteza roho zao, kama matokeo ya kupuuza maonyo yetu, kwa dhulma.

[7:11] Tuliwaumba, kisha tukawabuni, kisha tukawaambia malaika, "Jitieni kifudifudi mbele ya Adam." Walijitieni kifudifudi isipokuwa Iblis (Shetani); yeye hakuwa pamoja na wanao jitia kifudifudi.