Submission
Quran
The Final Testament in 33 languages, with its appendices
Practices
Prayer times and how to pray, Zakat, Fasting and Hajj
Qiblah
The direction to face in prayer, on a compass, a map or satellite view
Media
Quran studies & recitation, videos and songs glorifying God alone
Publications
Books, the Perspectives archive and topics, to read and search
Studies
Live Quran studies with Submitters: join a session and its chat
Community
Messages and video calls with fellow Submitters around the world
Calculator
Check whether a number or Arabic text is a multiple of 19
World Practices
Prayer and fasting times for any city in the world

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:128 — Purgatory (Al-A'araf)

قالَ موسىٰ لِقَومِهِ استَعينوا بِاللَّهِ وَاصبِروا ۖ إِنَّ الأَرضَ لِلَّهِ يورِثُها مَن يَشاءُ مِن عِبادِهِ ۖ وَالعٰقِبَةُ لِلمُتَّقينَ

Musa aliwaambia watu wake, "Tafuteni msaada wa MUNGU, na simameni imara. Ardhi ni ya MUNGU, naye huipatia amtakaye katika waja wake. Ushindi wa mwisho ni wa wenye haki."

[7:127] Viongozi miongoni mwa watu wa Farao walisema, "Je! Utawaachia Musa na watu wake wafisidi ardhi, na kukuacha wewe na miungu yako?" Akasema, "Tutaua wana wao, na kuwaachilia binti zao. Sisi ni wenye nguvu zaidi kuliko wao."

[7:129] Waliposema, "Tuliteswa kabla hujaja kwetu, na baada ya kufika kwetu." Yeye akasema, "Mola wenu atawaharibu maadui zenu na kuwathibitisha katika ardhi, kisha atawaangalia jinsi mtakavyotenda."