Submission

Submission — Ujisalimishaji (Uislamu): chanzo kikuu duniani cha habari sahihi kuhusu Uislamu wa kweli, katika lugha 33

Kurani 7:195 — Purgatory (Al-A'araf)

Je, wana miguu ambayo wanatembea nayo? Je, wana mikono ambayo wanajilinda nayo? Je, wana macho ambayo wanayoona nayo? Je, wana masikio ambayo wanayasikia nayo? Sema, "Iteni sanamu zenu, na waombeni wanipige mara moja."

[7:194] Sanamu zile mnazozitolea madhabahuni badala ya Mwenyezi Mungu ni viumbe kama nyinyi. Endeleeni kuwaita; waache wajibu wito wenu, ikiwa mnasema kweli.

[7:196] "MUNGU ndiye Bwana wangu pekee; Yule aliye funua maandiko haya. Yeye huwalinda wenye haki."